Popular posts from this blog
AUDIO: Reandro - Tatizo Moyo | download mp3
Hii hapa Audio ya Reandro - Tatizo moyo. Msanii huyu uwimbaji wake haupishani sana na BARAKA DA PRINCE kwa kila kitu Adi sauti.Leo hii anakukaribisha kusikiliza na kudownload nyimbo yake mpya TATIZO MOYO. Click To Download.. KWA WALE WASANII WANAOTAKA NYIMBO ZAO ZIONEKANA KWENYE HII BLOG WASILIANA NASI KWA NO. 0764344204. ILI UFANIKIWE ZAIDI TANGAZA NASI KWA BEI NAFUU KABISA CONTACT US BY jamecdeprizzo@gmail.com au 0764344204
niceeeeeeeeeeeeeeeee
ReplyDeleteDuh! Kweli hii blog ya wabishi, mmeupataje huu wimbo maana blogs zingine zote zinaforward kwenye link ya wasafi. Big up jamectz.com
ReplyDeleteSafi. Nmewaelewa sana. Wekeni contacts tafadhali kwa upcoming artists wakihitaji kukutumieni nyimbo zao. Kazi nzuri sana mnafanya
ReplyDelete