LA LIGA SPAIN | BARCELONA YAIFUNGA ATHLETIC


  • Ligi kuu ya spain hali maarufu kwa jina la LA LIGA, Imeendeleo leo hii katika uwanja wa san mames, Kwa kuzikutanisha timu ya ATHLETIC vs BARCELONA.Katika mchezo huo timu ya athletic ilizidiwa kimchezo na barcelona. Adi dakika ya 90 barcelona wameongoza kwa possession 63% na athletic kupata 37%,Na mchezo umemalizika kwa Barcelona kuibuka kifua mbele kwa kushinda goli moja goli ambalo lilifungwa na I.Rakitic dakika ya 21.
  • Hiki ndo kikosi cha Barcelona kilichoanza leo.M.Ter stegen(1).,S.Umtiti(23).,G.Pique(3).,Jordi Alba(18).,Sergi Robert(20).,S.busquets(5).,D.suarez(6).,I.Rakitic(4).,A.Turan(7),.L.Suarez(9).,L.messi(10).

         Wachezaji wa barcelona wakishangilia goli lililofungwa na Ivan Rakitic(21)

Comments

Popular posts from this blog